Includes unlimited streaming via the free Bandcamp app, plus high-quality download in MP3, FLAC and more.
Purchasable with gift card
$1USD or more
about
THE TRACK WAS RECORDED BETWEEN 24 AND 28 APRIL. 2020 IN DAR ES SALAAM BY THE BY THE JFK BAND. THE SONG WAS WRITTEN BY KHADIJA MNOGA THE LEAD SINGER IN THE SONG. THE JFK BAND WAS TO HAVE ITS FIRST GIG ON THE 27TH OF MARCH 2020, BUT ON THE 24TH A NOTICE WAS GIVEN TO BAN ALL GATHERINGS DUE TO THE CORONA VIRUS PANDEMIC
lyrics
Jamani mapenzi ni maua
Sometimes huchanua
Na mapenzi ni mabaya
Wakati mwingine yanauwa
Dunia ya leo hakuna mapenzi
Ya leo ni pesa
Kama yapo ni kidogo ya kudan'ganyana
Mapenzi zamani
Lakini sasa ya leo ni pesa
Kama yako ni kidogo
Yakuibiana
Kama huamini
Jaribu kidogo kuchunguza
Vipengele vingi
Sababu ni tele utashindwa
Kama huamini
Jaribu kidogo kuchunguza
Vipengele vingi
Sababu ni tele utashindwa
Kama huamini
Jaribu kidogo kuchunguza
Vipengele vingi
Sababu ni tele utashindwa
Sasa mapenzi x3
Mapenzi ni karata tatu
Sasa mapenzi x3
Mapenzi ni karata tatu
Mapenzi ya sasa yanatoka mfukoni
Mara nyingi si mapenzi ya ukweli kutoka moyoni
Mpenzi wangu nakupenda nitakupa unachotaka
Unataka how much ntakupa useme too much
Mamamapenzi sio mali wala sura jamani
Sijakupendea pesa wala vitu vya thamani
Tabia yako tu
Upole wako tu
Sifa ziwaendee wazazi waliokuzaa na kukulea
Mapenzi ya sasa yanatoka mfukoni
Mara nyingi si mapenzi ya ukweli kutoka moyoni
Mpenzi wangu nakupenda nitakupa unachotaka
Unataka how much ntakupa useme too much
Mamamapenzi sio mali wala sura jamani
Sijakupendea pesa wala vitu vya thamani
Tabia yako tu
Upole wako tu
Sifa ziwaendee wazazi waliokuzaa na kukulea
Mapenzi ya sasa yanatoka mfukoni
Mara nyingi si mapenzi ya ukweli kutoka moyoni
Mpenzi wangu nakupenda nitakupa unachotaka
Unataka how much ntakupa useme too much
A collection of long out-of-print funk and soul by artists from Tanzania, Democratic Republic of Congo and western Kenya. Bandcamp New & Notable Sep 24, 2018